Milan,Italia.
Mchezo wa soka umeendelea kuingiza vipato kikubwa zaidi kwa vilabu,wachezaji,vyama na mashirikisho ya mchezo huo duniani kote.Ifuatayo ni orodha wa mawakala watano matajiri ziadi duniani kwa upande wa soka.

1. Jorge Mendes
Kampuni: Gestifute International
Wateja: Cristiano Ronaldo, James Rodiguez, Pepe, Diego Costa, Angel di Maria, David de Gea, Jose Mourinho.
Thamani ya mikataba: £626.3million
2. Jonathan Barnett
Kampuni: Stellar Group
Wateja: Gareth Bale, Joe Hart, Luke Shaw, Adam Lallana.
Thamani ya mikataba: £287million.
3. Volker Struth
Kampuni: SportsTotal
Wateja: Marco Reus, Mario Gotze, Toni Kroos, Sidney Sam.
Thamani ya mikataba: £278million
4. Jose Otin
Kampuni: Bahia Internacional
Wateja: Pedro, Fernando Torres, Javi Martinez, Nacho Monreal.
Thamani ya mikataba: £191million
0 comments:
Post a Comment