
Thursday, December 31, 2015

Mwaka 2015 ukiwa unafikia tamati leo alhamis Soka Extra kwa msaada wa mitandao mbalimbali inakuletea timu tano bora za mwaka za Afrika k...
LIGI KUU ENGLAND:LIVERPOOL YAINYUKA SUNDERLAND 1-0 NA KUIFIKIA MANCHESTER UNITED
Thursday, December 31, 2015
Sunderland,England. Ikiwa ugenini Liverpool imeumaliza mwaka 2015 kwa staili ya aina yake baada ya jumatano usiku kuilaza Sunderland kwa...
Wednesday, December 30, 2015
NYOTA CHELSEA AVUNJA MKATABA BAADA YA KUCHOKA KUKAA BENCHI
Wednesday, December 30, 2015
London,England. Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Patrick Bamford amevunja mkataba wake wa mkopo katika klabu ya Crystal Palace na kuamu...
SCHWEINSTEIGER AWABURUZA WACHINA MAHAKAMANI KWA KUTENGENEZA MDOLI UNAOFANANA NAE
Wednesday, December 30, 2015
Manchester, England. UCHOKOZI TU!!Kiungo wa Manchester United Mjerumani Bastian Schweinsteiger anajiandaa kuiburuza mahakamani kampuni y...
CHAMA CHA SOKA CHAADHIBIWA KWA KUMFUTA KAZI MWAMUZI SHOGA
Wednesday, December 30, 2015
Istanbul,Uturuki. Chama cha soka cha Uturuki "Turkish Football Federation" (TFF) kimeamuriwa na mahakama ya jiji la Istanbul k...
LIGI KUU ENGLAND:LECEISTER CITY,MAN CITY ZASHINDWA KUTAMBIANA ZATOKA SARE YA 0-0,ARSENAL YABAKI KILELENI
Wednesday, December 30, 2015
Leceister,England. Leceister City na Manchester City zimetoka sare ya 0-0 katika mchezo mkali wa ligi kuu uliopigwa jumanne usiku katika...
Tuesday, December 29, 2015
BARCELONA KIBOKO,YAMTEMA MCHEZAJI MASAA SABA BAADA YA KUMSAJILI
Tuesday, December 29, 2015
Barcelona,Hispania. HATARI SANA hii ndiyo kauli rahisi unayoweza kuitumia kuelezea tukio lililofanywa na klabu ya FC Barcelona siku ya j...
Monday, December 28, 2015
PETER CECH AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU ENGLAND
Monday, December 28, 2015
London,England. Peter Cech sasa ndiye mlinda mlango aliyecheza michezo mingi zaidi ya ligi kuu England bila ya kuruhusu goli hata moja b...
PETER CECH AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU ENGLAND
Monday, December 28, 2015
LIGI KUU ENGLAND:ARSENAL YAKAA KILELENI KWA MUDA BAADA YA KUIFUNGA BOURNEMOUTH, MAN UNITED,CHELSEA HAKUNA MBABE
Monday, December 28, 2015
London,England. Arsenal imekaa kileleni mwa ligi kuu England kwa muda baada ya kuifunga Bournemouth kwa mabao 2-0 katika mchezo uliopig...
HII HAPA RATIBA NZIMA YA MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI
Monday, December 28, 2015
MESSI AMTAMBIA TENA RONALDO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA WA DUNIA WA GLOBE SOCCER AWARDS
Monday, December 28, 2015
Dubai. Lionel Messi na FC Barcelona jana jumapili waliibuka vifua mbele baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka na klabu bora ya ...
MBWANA SAMATTA AILETEA NEEMA NYINGINE SIMBA SC
Monday, December 28, 2015
Dar es salaam,Tanzania. Mabingwa wa zamani wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba SC wanatarajia kupata asilimia 20 ya pesa za mauzo...
IGHALO AIFUKUZIA REKODI YA YAKUBU AIYEGBENI LIGI KUU ENGLAND
Monday, December 28, 2015
Lagos,Nigeria. Mshambuliaji mahiri wa Watford ya Odion Ighalo anahitaji magoli 3 tu ili aweze kuifikia rekodi iliyowekwa na Mnigeria mw...
ESPERANCE YATOKA USINGIZINI NA KUITANDIKA CS SFAXIEN 2-1
Monday, December 28, 2015
Tunis,Tunisia. Esperance imeamka kutoka katika usingizi wa kuchapwa magoli 3-0 na Etoile du Sahel wikendi iliyopita baada ya jana jumapi...
Sunday, December 27, 2015
AZAM FC YAENDELEA KUIPUMULIA YANGA KILELENI,YAILAZA KAGERA SUGAR 2-0,AFRICAN SPORTS YAIFUNGA TOTO AFRICANS 1-0
Sunday, December 27, 2015
Dar es salaam,Tanzania. Klabu ya Azam FC imeendelea kuipumulia Yanga kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya jioni ya le...
DIEGO COSTA NJE MCHEZO WA JUMATATU DHIDI YA MANCHESTER UNITED
Sunday, December 27, 2015
London,England. Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Muhispania Diego Costa anatarajia kuukosa mchezo wa siku ya jumatatu wa ligi kuu Englan...
KWA MUJIBU WA JAMIE CARRAGHER HUU NDIYO USAJILI BORA ZAIDI WA MWAKA 2015 LIGI KUU ENGLAND
Sunday, December 27, 2015
London,England. Mlinzi wa zamani wa Liverpool Jamie Carragher amemtaja N’Golo Kante wa Leicester City kuwa ndiye usajili bora zaidi wa m...
ARSENAL YATIA AIBU BOXING DAY,YACHAPWA GOLI NNE KWA NUNGE NA SOUTHAMPTON
Sunday, December 27, 2015
Southampton, England. Arsenal imeshindwa kukalia kiti cha uongozi wa ligi kuu England baada ya usiku wa leo kukubali kichapo cha goli 4-...
Saturday, December 26, 2015
LIVERPOOL YAIZIMA LECEISTER CITY,YAIPIGA 1-0 ANFIELD,CHELSEA YABANWA NYUMBANI NA WATFORD,MAN CITY YAIFANYIA MAUAJI SUNDERLAND
Saturday, December 26, 2015
Liverpoo,ENGLAND Liverpool:Liverpool ikiwa nyumbani Anfield imeitambia Leceister City baada ya kuilaza kwa bao 1-0.Bao pekee la mchezo h...
YANGA YAINYUKA MBEYA CITY 3-0 U/TAIFA,SIMBA SC YAKWAMA SHINYANGA, YATOKA SARE NA MWADUI FC MAJEGWA AOKOA JAHAZI
Saturday, December 26, 2015
Yanga SC imeendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara baada ya leo jioni kuilaza Mbeya City kwa mabao 3-0 katika mchezo uliop...
MAN UNITED HOI TENA EPL,YANYUKWA 2-0 NA STOKE CITY BRITTANIA
Saturday, December 26, 2015
STOKE,ENGLAND. Magoli mawili yaliyofungwa na washambuliaji Bojan Krkic na Marko Arnautovic dakika za 19 na 26 yameipa Stoke City ushindi...
KIKOSI CHA SIMBA SC KITAKACHOSHUKA DIMBA LA KAMBARAGE KUIVAA MWADUI FC HIKI HAPA
Saturday, December 26, 2015
Kikosi kitakachanza leo ni 1. Vicent Angban 2. Murdish Juuko 3. Mohamed Tshabalala 4. Hassan Kessy 5. Justice Majabvi 6. Abdi Banda 7. S...
NYOTA 11 WA YANGA AFRIKA WATAKAOIVAA MBEYA CITY U/TAIFA MCHANA HUU
Saturday, December 26, 2015
1.Deogratius Munish 2.Juma Abdul Japhary 3.Mwinyi Haji Ngwali 4.Vicent Bossou 5.Kelvin Patrick Yondan 6.Mbuyu Twite Junior (C) 7.Simon Hap...
TETESI ZA SOKA JUMAMOSI YA LEO DEC 26:MAN UNITED KUSAJILI STRAIKA MJAPAN,LIVERPOOL YANOGEWA NA MIGNOLET,ARSENAL KUPELEKA MAMILIONI SEVILLA
Saturday, December 26, 2015
Habari na Paul Manjale. Muto:Klabu ya Manchester United inataka kuiongezea makali safu yake ya ushambuliaji hapo mwezi januari kwa kumsa...
HAWA NDIYO WACHEZAJI KUMI WALIOFANYA VIZURI ZAIDI MWAKA 2015
Saturday, December 26, 2015
Barcelona,Hispania. Gazeti la michezo la Hispania la Marca limetoa orodha ya wachezaji kumi waliofanya vizuri zaidi kwa mwaka 2015 toka ...
MASHABIKI REAL MADRID WAMCHAGUA ZIDANE KWA KURA NYINGI AWE KOCHA WAO
Saturday, December 26, 2015
Madrid,Hispania. Kura zilizoendeshwa na gazeti maarufu la michezo la Hispania la AS lenye makao makuu yake katika jiji la Madrid zimeony...
LIGI KUU TANZANIA BARA:SIMBA,YANGA DIMBANI LEO, AZAM FC KESHO,RATIBA YOTE HII HAPA
Saturday, December 26, 2015
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea tena leo kwa viwanja sita kuwaka moto ambapo timu kumi na mbili zitakuwa zikichu...
Friday, December 25, 2015
UMEISIKIA HII YA ARSENAL KUKARIBIA KUMNASA KIUNGO WA ULINZI WA FC BASEL MOHAMED ELNENY???
Friday, December 25, 2015
Basel,Uswisi. Taarifa kutoka gazeti la michezo la Uswisi la Aargauer Zeitung na kunukuliwa na Metro ni kwamba Arsenal iko katika nafasi ...
AMR ZAKI ASIKILIZIA MTONYO ARUDI KUWATESA MAKIPA
Friday, December 25, 2015
Cairo,Misri. Mshambuliaji aliyewahi kutamba miaka ya nyuma kwa kufunga magoli alivyojisikia Mmisri Amr Zaki ‘The Bulldozer’ ambaye kwasa...
GIROUD AJIVUNIA SOKA LA MCHANGANI
Friday, December 25, 2015
London,England. Mshambuliaji wa Arsenal aliye katika kiwango bora kwa sasa Olivier Giroud amesema kuanzia soka lake katika ligi za madar...
MKHITARYAN MCHEZAJI BORA ARMENIA KWA MARA YA TANO MFULULIZO
Friday, December 25, 2015
ARMENIA Kiungo wa Borussia Dortmund Henrikh Mkhitaryan ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Armenia kwa mara ya tano...
LYON YAMTEUA BRUNO GENESIO KUWA KOCHA WAKE WA MUDA
Friday, December 25, 2015
LYON,UFARANSA Klabu ya Olympique Lyon inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa [Ligue 1] imemteua Bruno Genesio kuwa kocha wak...
Thursday, December 24, 2015
USAJILI DIRISHA DOGO:DANNY MRWANDA,TUMBA SWEDI WAKWAMA,DILUNGA,REDONDO WAPENYA
Thursday, December 24, 2015
A. USAJILI 1. Kamati imepitisha usajili wa wachezaji walioombewa kwa vilabu vifuatavyo vya ligi kuu 1. AZAM FC - mchezaji mmoja Ivo Phil...
Subscribe to:
Posts (Atom)