Ushuhuda wa kweli wa tukio la kurejeshwa kwa msukule kwa kijana Saimon John, kutoka Musoma mnamo 11/3/2022. Hii inabaki kuwa historia nyingine katika kazi yangu ya kurejesha misukule na watu waliyopotea katika mazingira ya kutatanisha. Msukule ni mtu wa aina Gani: Ni ambaye mtu aliyechukuliwa kwa njia ya kishirikina (kichawi) akiwa mzima (hai), lakini kwa upeo wa kawaida ni dhahiri kuwa amekufa.
Kazi ya kumchukua binadamu kuwa msukule inafanywa najini aitwaye BAKAS anayetawala siku ya Jumamosi.
Mchawi anapomtaka mtu awe mtumwa wake (Msukule) huingia mkataba na Jini huyu BAKAS na baada ya kumtimizia mahitaji yake kazi ya kumtuma Ili alete misukule huanza.
KUMBUKA: Siku zote msukule huchukuliwa usiku kuanzia saa 7:30 mpaka Saa 9 usiku . Sheikh Bakari ana uwezo wa kumrejesha ndugu, jamaa au rafiki ambae unaisi amechukuliwa msukule au amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha 0754-63 63 84, au +255754636384
0 comments:
Post a Comment