Msukule ni mtu au sehemu ya mtu iliyo chukuliwa na kufichwa kichawi kwa lengo la kutumikishwa kazi na shughuli mbalimbali za kichawi.
Misukule wengi wanao chukuliwa , huchukuliwa kwa lengo la kutumikishwa kwenye mashamba, biashara,migodi, uvuvi, masokoni, madukani, ulinzi na kwenye shughuli mbalimbali za kichawi.
Kwa ufupi misukule wengi huchukuliwa kwa sababu ya masuala ya mali na utajiri wa kichawi.
Misukule wengine huchukuliwa kwa ajili ya kufanya kazi ya chuma ulete. Hawa ni maarufu miongoni mwa wale ndugu zangu wanao pewa utajiri wa punje za kuku. KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU AU WHATSAAP:0754-63 63 84, au +255754636384
0 comments:
Post a Comment