728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, December 02, 2015

    CHELSEA KUUPANUA UWANJA WA STAMFORD BLIDGE

    Klabu ya soka ya Chelsea imewasilisha maombi ya mpango wa kuupanua Uwanja wa Stamford Bridge ili kuweza kuingiza Mashabiki 60,000.
    Maombi ya klabu hiyo yatachunguzwa na Manispaa ya London Borough of Hammersmith na Fulham ambayo pia imekaribisha maoni toka kwa Wananchi ambao watatakiwa kutoa ridhaa yao au pingamizi zao kabla ya Tarehe 8 Januari 2016.
    Iwapo kutapitishwa kwa ujenzi huo majengo yaliyo jirani na uwanja huu yatalazimika kuvunjwaili kupisha ukarabati huo.
    Chelsea, walianza kutumia uwanja wa Stamford Bridge, tangu 1905 ambapo mara ya mwisho kukarabatiwa na kupanuliwa ilikua ni katika Miaka ya 1990 na kuufanya uwe na uwezo wa kuchukua watazamaji 42,000.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: CHELSEA KUUPANUA UWANJA WA STAMFORD BLIDGE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top