Na Faridi Miraji.
Kuelekea Mchezo utakaopigwa Leo Majira ya Saa kumi Jioni kwa Tanzania Na Saa Tisa Mchana kule Zambia utakao wakutanisha Zanako ( Zambia ) vs Yanga ( Tanzania )
Hiki hapa kikosi cha zanako kinachotarajia kushuka dimbani punde kuwakabili Yanga sc
1-Toster Sambata
2-Ziyo Tembo
3-George Kilufya
4-Zimeselema Moyo
5-Chongo Chirwa
6-Saith Sakala
7-Taonga Bwembya
8-Enerst Mbewe
9-Boyd Musonda
10-Attram Kwame
11-Augustine Mulenga
SUB
-Mangani Banda
-Boyd Mwangelwa
-Peter Banda
-Richard Kasonde
-Kennedy Musonda
-Andrew Kwiliko
-Ayubu Lyanga
0 comments:
Post a Comment