Dar es Salaam,Tanzania.
MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,Simba SC,leo wametambulisha jezi zao mpya watakazozitumia katika msimu ujao wa 2016/17.
Jezi hizo za nyumbani na ugenini zimetambulishwa leo kupitia ukurasa wa rasmi wa Facebook wa klabu hiyo lakini utambulisho rasmi pamoja na kuanza kuuzwa itakuwa ni Agosti 8 siku ya Simba Day.
0 comments:
Post a Comment