728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, March 18, 2017

    Hivi hapa viingilio vya mechi ya Madini Sc vs Simba Sc


    Arusha,Tanzania.

    Viingilio vya mchezo wa Robo Fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya Madini FC na Simba SC vimewekwa hadharani!

    VIP A   -     20,000,VIP B1 & VIP B2 7,000 na VIP CI & VIP C2 5,000

    Tiketi za mchezo huo zitaanza kuuzwa mapema kesho jumapili asubuhi kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid


    Pia Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi jijini Arusha kujianda na mchezo wake wa kombe la FA dhidi ya Madini FC siku ya jumapili pambano litakalochezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha


    "Tumempokea Blagnon jana na hivi sasa tupo naye kambini hapa Arusha hivyo nimefurahi kuwa naye kwa mara nyingine katika kikosi changu''

    Ujio wake utaongeza hali ya ushindani wa namba kwa washambuliaji wangu jambo ambalo ni zuri katika harakati zetu za kuhakikisha  msimu huu tunakuwa mabingwa wa ligi kuu pamoja na kombe la FA''.Amesema Omog

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Hivi hapa viingilio vya mechi ya Madini Sc vs Simba Sc Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top