Yanga Sc Leo iko uwanjani kuwakabili wenyeji wao Zanako kutoka Zambia ,Yanga inashuka dimbani huku ikiwaacha Donald Ngoja , Hamisi Tambwe wenye majeruhi .
Na hiki ndio kikosi kitakachoshuka dimbani Leo dhidi ya Zanako
Deo munish, Hassan Kessy, Haji Mwinyi, Yondani kelvin, Bossou Vicent, Zulu Justine, Msuva Simon, Kamusoko Thaban, Chirwa Aubrey, Niyonzima Haruna na Mwashiuya Geofrey.
Sub. Deus Kaseke, Ally Mustafa, Emanuel Martin, Oscar Joshua , Juma Mahadhi, Abdull Juma, Saidi juma Makapu
0 comments:
Post a Comment