Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa leo mchana, wawakilishi wa Tanzania waliosalia katika mashindano ya Afrika, Yanga wamepangiwa kucheza na timu ya MC Alger ya Algeria.
Yanga itaanza kucheza mechi yake nyumbani kati ya tarehe Aprili 7-9 hadi 9 jijini Dar kabla ya kurudiana kati ya Aprili 14-16 nchini Algeria.
Yanga imepata nafasi ya kushiriki hatua ya mchujo wa kuwania kufuzu kucheza nane bora ya Kombe la Shirikisho baada ya kutolewa na klabu ya Zanaco katika hatua ya 32 Bora ya Ligi ya Mabingwa.
0 comments:
Post a Comment