London,England
Klabu ya Chelsea imetoa wachezaji wake 33 kwenda vilabu mbalimbali Ulaya,kitendo ambacho kimepigiwa kelele na wadau wengi wa soka kwa madai kuwa klabu hiyo ya London imegeuka ghara la wachezaji wasio na uhakika wa kucheza.Wachezaji waliotoka ni wale walioshindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza na makinda wanaochipukia.
Ifuatayo ni orodha kamili ya nyota hao na vilabu walivyokwenda.......
0 comments:
Post a Comment