728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 06, 2016

    HATIMAYE MWANARIADHA MLEMAVU WA AFRIKA KUSINI OSCAR PISTORIUS AHUKUMIWA KIFUNGO GEREZANI KWA MAUAJI

    Pretoria,Afrika Kusini.

    Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius,leo amehukumiwa kifungo cha
    miaka 6 gerezani kwa kosa la kumuua mpenzi wake.

    Pistorius,29,alimuua kwa kumpiga risasi mchumba wake, Reeva Steenkamp miaka mitatu iliyopita huko nyumbani kwake Pretoria, Afrika Kusini.

    Baada ya kupitia utetezi wa pande zote mbili jaji,Maripa,wa mahakama ya North Gauteng high court amemuhukumu Pistorius kwenda gerezani baada ya kumkuta na hatia ya mauaji.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HATIMAYE MWANARIADHA MLEMAVU WA AFRIKA KUSINI OSCAR PISTORIUS AHUKUMIWA KIFUNGO GEREZANI KWA MAUAJI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top