728x90 AdSpace

Friday, July 22, 2016

ANDRE SCHURRLE ATUA BORUSSIA DORTMUND

Dortmund, Ujerumani.

Borussia Dortmund imemsajili nyota wa zamani wa Chelsea,Mjerumani Andre Schurrle,kutoka Wolfsburg kwa mkataba wa miaka mitano.

Schurrle,25,anakuwa mchezaji wa nane kujiunga na Borussia Dortmund baada ya Mario Götze (Bayern München),Marc Bartra (FC Barcelona).

Wengine ni Sebastian Rode (Bayern München), Emre Mor (FC Nordsjaelland), Ousmane Dembélé (Stade Rennes), Mikel Merino (CA Osasuna) na Raphaël Guerreiro (FC Lorient). 



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: ANDRE SCHURRLE ATUA BORUSSIA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Unknown