Manchester,England.
KLABU ya Manchester United leo imetangaza namba mpya za Jezi zitakazovaliwa na wachezaji wake kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2016/17
Mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Msweden,Zlatan Ibrahimovic,amepewa jezi namb No.9 ambayo msimu uliopita ilikuwa ikivaliwa na Mshambuliaji kinda,Mfaransa Anthony Martial.
Sasa Martial atakuwa akivaa jezi No.11 iliyokuwa ikivaliwa na nyota wa zamani wa klabu hiyo Ryan Giggs.Jezi No.6,imehifadhiwa na kuibua uvumi kuwa huenda ikawa imetengwa kwa ajili ya Kiungo wa Juventus,Paul Pogba.
Mlinzi toka Ivory Coast,Erik Bailly atavaa Jezi No.3, ambayo ilikuwa haina mtu kwa kipindi kirefu.Kiungo Henrikh Mkhitaryan,atakuwa akivaa Jezi No.22.
NAMBA ZOTE ZIKO KAMA IFUATAVYO!!
0 comments:
Post a Comment