Dar es Salaam,Tanzania.
MDACHI,Hans van der Pluijm amesaini Mkataba mpya wa miaka miwili
wa kuendelea kufundisha klabu ya Yanga.
Pluijm amesaini Mkataba huo jana katika makao makuu ya klabu hiyo, Jangwani,jijini Dar es Salaama.
Pluijm amepewa mkataba huo ikiwa ni kama asante baada ya msimu uliopita kuiongoza Yanga kutwaa mataji mawili ya ndani,Ligi Kuu na Shirikisho (FA) pamoja na kuiwezesha miamba hiyo kutinga hatua ya nane bora ya michuano ya Shirikisho Afrika.
0 comments:
Post a Comment