Beijing, China.
MAKOCHA Jose Mourinho wa Manchester United na Thomas Tuchel wa Borussia Dortmund wametangaza vikosi vyao ambao muda mfupi Ujao vitashuka dimbani nchini China kuwania alama tatu muhimu katika michuano ya International Champions Cup.
Mourinho amewaanzisha kwa pamoja Henrikh Mkhitaryan na Memphis Depay katika safu ya ushambuliaji huku mpinzani wake Tuchel akimuanzisha mshambuliaji wa Gabaon,Emerick Aubameyang,ili kuhakikisha kikosi chake kitatoka kifua mbele katika mchezo huo utakaoanza saa 9:15 Mchana.
Vikosi Kamili:
Manchester United:Johnstone, Valencia, Bailly, Jones, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Mkhitaryan, Lingard, Memphis.
Borussia Dortmund:Weidenfeller, Bender, Dembélé, Aubameyang, Rode, Ramos, Kagawa, Sokratis, Castro, Schmelzer, Passlack.
0 comments:
Post a Comment