Sunderland, England.
KLABU ya Sunderland imemtangaza Kocha wa zamani wa vilabu vya Everton, Manchester United na Real Sociedad,David Moyes,kuwa Kocha wake mpya ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Sam Allardyce ambaye jana Ijumaa aliteuliwa kuwa Kocha mpya wa timu ya taifa ya England.
Moyes,53,amesaini mkataba wa miaka minne wa kuinoa miamba hiyo inayotumia uwanja wa Stadium of Light kwa michezo yake ya nyumbani.
0 comments:
Post a Comment