Cairo,Misri.
MICHUANO ya Afrika ya hatua ya nane bora ya Kombe la shirikisho na ile ya klabu bingwa inatarajiwa kuendelea tena leo na kesho kwa miamba 14 kushuka dimbano kuwania pointi tatu muhimu.
Ratiba kamili ya Leo Jumanne
Kombe la shirikisho Afrika
Jumanne:Julai 26,2016
Kundi A:Medeama FC v Young Africans (Uwanja Sekondi-Takoradi -Ghana)
*Mchezo huu utachezwa saa 11:50 jioni na utakuwa Live kupitia DSTV 9*
Kundi B:Al Ahly Tripoli v Etoile Sahel
Jumatano:Julai 27,2016
Kundi A:TP Mazembe v Mouloudia Bejaia (Uwanja:Stade du TP
Mazembe)
Kundi B:FUS Rabat v Kawkab Marrakech
Kombe la klabu bingwa Afrika
Jumanne:Julai 26,2016
Kundi A:Wydad Casablanca v Al Ahly (Uwanja:Complexe Prince Moulay Abdellah)
Jumatano:Julai 27,2016
Kundi A:ASEC Mimosas v Zesco United (Uwanja Stade Robert Champroux)
Kundi B:Mamelodi Sundowns v Zamalek (Lucas Moripe Stadium)
0 comments:
Post a Comment