728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, July 31, 2016

    ICC:LIVERPOOL YAICHAPA AC MILAN MBILI SAFIIIII

    California,Marekani.

    LIVERPOOL imeifunga AC Milan kwa jumla ya mabao 2-0 katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki wa michuano ya International Champions Cup (ICC) uliomalizika hivi punde katika uwanja wa Levi’s Stadium,ulioko huko Santa Clara, California

    Mabao ya Liverpool katika Mchezo huo murua yamefungwa na Divock Origi dakika ya 59 pamoja na Roberto Firmino dakika ya 72.

    Kikosi cha Liverpool kilikuwa kama ifuatavyo:

    Kipindi cha Kwanza:Mignolet, Alexander-Arnold,Lovren, Klavan, Milner, Henderson, Lallana,Wijnaldum, Coutinho, Mane, Sturridge.

    Kipindi cha Pili:Mignolet, Clyne, Lovren (Wisdom 75), Klavan ( Randall 75), Moreno,Stewart, Milner (Ojo 62), Henderson (Brannagan 75), Firmino, Markovic, Origi


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ICC:LIVERPOOL YAICHAPA AC MILAN MBILI SAFIIIII Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top