728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 06, 2016

    LIONEL MESSI,BABA YAKE JELA MIEZI 21 KWA KOSA LA KUKWEPA KULIPA KODI,LAKINI SHERIA YAMCHOMOA

    Barcelona,Hispania.

    STAA wa FC Barcelona,Muargentina,Lionel Messi,na baba yake Mzazi,Jorge Horacio Messi,wamehukumiwa kwenda jela kwa kipindi cha miezi 21 baada ya kukutwa na hatia ya kukwepa kulipa kodi inayokadiliwa kufikia €4.1m (£3.2m;$4.6m) kati ya mwaka 2007 na 2009.

    Lakini habari njema ni kwamba wawili hao hatatumikia adhabu hiyo hiyo ni kutokana sheria za Hispania kusitisha vifungo kwa watuhumiwa waliohukumiwa adhabu ya chini ya miaka miwili.Pia wakiwa hawana rekodi yoyote ya makosa kabla ya vifungo husika.

    Aidha mahakama hiyo imewatoza faini kila mmoja kwa kiwango chake.Messi ametakiwa kulipa faini ya £1.7 huku baba yake Jorge yeye akitakiwa kulipa faini ya £1.3m.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: LIONEL MESSI,BABA YAKE JELA MIEZI 21 KWA KOSA LA KUKWEPA KULIPA KODI,LAKINI SHERIA YAMCHOMOA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top