Barcelona,Hispania.
Winga wa Borussia Dortmund, Ousmane Dembele yupo kwenye orodha ya usajili ya klabu ya Barcelona majira ya kiangazi kwa mujibu wa taarifa kutoka Mundo Deportivo.
Dembele,19 amefunga magoli 7 msimu huu na kutengeneza magoli 14 ( Assists ) msimu huu akiwa na Dortmund mpaka sasa.
Hata hivyo kwa mujibu wa taarifa kutoka AS , Barcelona huenda kwenye mfuko wao watakuwa na Euro Milioni 45 za kutumia labda wauze baadhi ya wachezaji wao
0 comments:
Post a Comment