728x90 AdSpace

Thursday, February 12, 2015

WAJUE NYOTA 10 WANAOONGOZA KWA KUPIGWA VIATU EPL

London,England.

Kwa mujibu wa takwimu za ligi kuu England 2014/2015 winga wa klabu ya Chelsea Eden Hazard yuko katika nafasi ya kwanza katika nyota wanaofanyiwa madhambi zaidi katika ligi hiyo ngumu zaidi duniani.
 

Orodha kamili iko hapa...


Jina                            Idadi
Hazard, Eden              74
Sterling, Raheem         60
Naismith, Steven         52
Sánchez, Alexis           47
Agbonlahor, Gabriel    46
Cabella, Rémy            45
Fer, Leroy.                  45
Sessegnon, Stéphane  44
Colback, Jack.           44
Wickham, Connor      41
Cazorla, Santiago.      41
Mané, Sadio.             41
Song, Alexandre        40
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: WAJUE NYOTA 10 WANAOONGOZA KWA KUPIGWA VIATU EPL Rating: 5 Reviewed By: Unknown