Madrid,Hispania.
Klabu ya Real Madrid imekubali kipigo kingine toka kwa wapinzani wao wakubwa Atletico Madrid baada kufungwa magoli 4-0.
Wakicheza katika dimba lao ya nyumbani la Vicente Calderon,Atletico Madrid waliandika goli lao la kwanza kupitia kwa Tiago Cardoso kabla ya Saul Niguez kuongeza la pili huku la tatu likifunga na winga Antoine Griezmann kabla ya mshambuliaji Mario Mandzukic kufunga la nne.
Pata picha za matukio yote muhimu ya mchezo huo hapa chini
0 comments:
Post a Comment