FA imezishutumu klabu za Everton na Chelsea baada ya wachezaji wa timu hizo mbili kugombana uwanjani.
Klabu
hizo zinashutumiwa kwa kushindwa kuhakikisha kuwa wachezaji wake
wanaepuka mivutano uwanjani na kuepuka vitendo vyenye kuchochea vurugu.
Mchezaji wa Chelsea Branislav Ivanovic
hatachukuliwa hatua zaidi baada ya kugombana na James McCarthy, kwenye mchezo wa jumatano wa ligi kuu ya England ambapo Chelsea iliondoka na ushindi wa goli moja bila dhidi ya Everton.
0 comments:
Post a Comment