Ligi kuu Tanzania bara leo jumamosi inaendelea kutimua vumbi lake kwa miamba ya ligi hiyo kuwania alama tatu muhimu.
Mabingwa Azam Fc watakuwa mjini Morogoro kuwavaa wenyeji Polisi katika dimba la Jamhuri,Mkwakwani Tanga Costal Union itaikaribisha Simba Sc huku Yanga kesho jumapili ikiikaribisha Mtibwa Sugar.
Michezo mingine leo jumamosi....
Ndanda Fc v Stand United
Tanzania Prison v Ruvu Shooting
JKT Ruvu v Mbeya City
Kagera Sugar v JKT Mgambo
0 comments:
Post a Comment