728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, February 14, 2015

    MAJANGA:MANCHESTER UNITED YAONGEZA MADENI

    Mapato ya matangazo ya klabu ya Manchester United yameshuka kutokana na timu hiyo kukosa kushiriki katika ligi ya vilabu bingwa ulaya.
    Kulingana na makadirio ya
    fedha ya kilabu hiyo, deni lake limepanda hadi pauni millioni 24 katika kipindi cha miezi mitatu.

    Naibu afisa mkuu Ed Woodward hatahivyo amesema kuwa mkataba mpya wa maonyesho ya mechi za ligi hiyo pamoja mapato mazuri ni ishara kwamba bado wapo katika nafasi nzuri.

    Mapato ya matangazo yalishuka kutoka pauni millioni 46.9 katika kipindi kama hicho msimu uliopita hadi pauni millioni 28.4 ambayo ni aslimia 39.4 huku mapato yanayopatikana wakati wa mechi yakishuka kutoka pauni millioni 33.7 hadi pauni millioni 30.9
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAJANGA:MANCHESTER UNITED YAONGEZA MADENI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top