Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba 36 amesema bado ataendelea kuichezea klabu hiyo mpaka mwaka 2016.
Akiongea na Telefoot Drogba amesema....
"Bado nitaendelea kuwa Chelsea kwa mwaka mmoja zaidi,klabu bado ina mipango na mimi"
Drogba ameifungia Chelsea magoli 6 katika michezo 27 tangu arejee tena klabuni hapo kwa uhamisho huru akitokea klabu ya Galatasaray ya Uturuki.
0 comments:
Post a Comment