728x90 AdSpace

  • Latest News

    Friday, February 13, 2015

    EMERSON:POGBA UKIENDA MADRID UMEBUGI MEEEEEN!!

    Turin,Italia.


    Kiungo wa zamani wa klabu ya Juventus Mbrazil Emerson ameibuka na kumnyooshea kidole cha shahada kiungo Paul Pogba ana kumtaka aachane kabisa na mpango wa kuhamia klabu ya Real Madrid na badala yake abaki Juventus kwani ndipo mahali pekee panapo mfaa.

     

    Emerson ambaye alichezea Real Madrid mwaka 2006 baada ya kuikimbia Juventus baada ya
    kushushwa daraja kwa kosa la upangaji matokeo amesema

     "Pogba anapaswa kuachana na Real Madrid kwani huko siyo kila kitu ni dhahabu"Ajifunze kupitia kwangu kwani nilikaa Bernabeu kwa msimu mmoja tu na kuondoka.Pogba bado anatakiwa kubakia Juventus na chini ya kiungo Andrea Pirlo atajifunza mengi na kuwa mchezaji bora zaidi"Madrid ni kugumu"


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: EMERSON:POGBA UKIENDA MADRID UMEBUGI MEEEEEN!! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top