London,England.
Kocha wa klabu ya Arsenal Mfaransa Arsene Wenger amesema bado mlinzi wake mpya Gabriel Paulista anahitaji muda kabla ya kuanza kucheza.
Akijibu swali aliloulizwa kama mlinzi
huyo atakuwemo katika kikosi cha kwanza kitakachoivaa klabu ya Tottenham kesho jumamosi katika mpambano wa ligi kuu Wenger amesema
"Gabriel bado hajazoeana na safu yetu ya ulinzi.Anahitaji muda zaidi ndipo aanze kucheza.Mbali ya kuzoeana pia lugha bado ni tatizo kwake hivyo bado ataendelea kukaa benchi"
Gabriel Paulista alijiunga na Arsenal hivi karibuni akitokea klabu ya Villareal kwa ada ya paundi 11.5m.
RATIBA YA MICHEZO YA EPL WIKENDI HII IKO KAMA HIVI...........
Saturday 7 February 2015 | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
9:45 | Spurs v Arsenal | White Hart Lane | ||||
12:00 | Aston Villa v Chelsea | Villa Park | ||||
12:00 | Leicester v Crystal Palace | King Power Stadium | ||||
12:00 | Man City v Hull | Etihad Stadium | ||||
12:00 | QPR v Southampton | Loftus Road Stadium | ||||
12:00 | Swansea v Sunderland | Liberty Stadium | ||||
02:30 | Everton v Liverpool | Goodison Park |
0 comments:
Post a Comment