728x90 AdSpace

Monday, February 09, 2015

IVORY COAST YATWAA AFCON KWA STYLE YA MWAKA 92

Bata,Guinea.

Hatimaye timu ya taifa ya Ivory Coast imetwaa ubingwa wa Africa baada ya kufanya hivyo mwaka 1992 ambapo iliifunga Ghana kwa penati 9-8.


Ivory Coast imetwaa ubingwa kwa style ile ile
baada ya jana jumapili kuibuka kidedea kwa penati 9-8 dhidi ya Ghana katika mchuano mkali uliopigwa katika dimba la Estadio de Bata.

Shujaa wa Ivory Coast alikuwa na mlinda mlango Boubacar Barry aliyepangua penati mbili na kisha kufunga penati iliyoipa Ivory Coast ubingwa na kuzima ndoto za Ghana kutwaa taji hilo baada ya miaka 33.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: IVORY COAST YATWAA AFCON KWA STYLE YA MWAKA 92 Rating: 5 Reviewed By: Unknown