728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, February 04, 2015

    KISIGA ANUKA NA KUNUKIA MSIMBAZI

    SIMBA huenda ikampa mkono wa kwa heri kiungo, Shaban Kisiga, ambaye ameingia mitini kwenye kambi ya timu hiyo bila sababu za msingi.

    Mchezaji huyo mkongwe aliyesajiliwa kwa bei chee zaidi Simba, hajaonekana kambini tangu kumalizika kwa mechi dhidi ya Mbeya City ya Uwanja wa Taifa,Simba ilipolala mabao 2-1.

    Habari za ndani zinadai Kisiga ana tofauti na kocha anayepiga Deiwaka, Seleman Matola, na inadaiwa amewaambia wenzake kwamba Matola asipoondoka harudi Simba, mchezaji huyo ambaye amekuwa hataki kuzungumzia sakata hilo anadai Matola anambania.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KISIGA ANUKA NA KUNUKIA MSIMBAZI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top