London,England
Arsena na Manchester City jioni ya leo zimeibuka kifua mbele baada ya kuibuka na ushindi katika muendelezo wa michezo yao ya ligi kuu England.
Arsenal ikiwa nyumbani Emirates imeitandika Watford kwa mabao 4-0 kupitia kwa Alexis Sanchez,Alex Iwobi,Hector Bellerin na Theo Walcott.
Ikiwa ugenini Manchester City imeitandika Bournemouth kwa mabao 4-0 kupitia kwa Fernandinho,Kevin De Bruye,Sergio Aguero na Alexander Kolarov
Matokeo Mengine
Norwich 3-2 Newcastle United
Stoke City 2-2 Swansea
Westham 2-2 Crystal Palace
Sunderland 0-0 Westbrom
0 comments:
Post a Comment