Dar es salaam,Tanzania.
MABAO mawili ya kiungo Mudathir Yahya yameipa Azam FC ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Majimaji ya Songea katika mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika dimba la Azam Complex,Chamazi Dar es salaam.
Mudathir amefunga mabao hayo dakika za 50 na 63 na kuipeleka Azam FC mpaka nafasi ya pili baada ya kufikisha pointi 58 na kuishusha Simba SC mpaka nafasi ya tatu ikiwa na pointi zake 57 baada ya kushuka dimbani mara 24.
0 comments:
Post a Comment