Barcelona,Hispania.
Mabao manne aliyoyafunga mshambuliaji wa FC Barcelona Luis Suarez Jumatano usiku dhidi ya Deportivo la Coruna yamemfanya mkali huyo toka Uruguayi afikishe mabao 49 katika msimu mmoja na kuvunja rekodi ya nguli wa zamani wa klabu hiyo Mbrazil Ronaldo de Lima ya mabao 47 aliyoiweka msimu wa 1996/97 .
Rekodi hiyo ya Suarez,28 huenda ikaongezeka kwani bado FC Barcelona ina takribani michezo mitano, minne ya La Liga na mmoja wa fainali ya Copa de Ley.
0 comments:
Post a Comment