728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, April 21, 2016

    OZIL,AGUERO WATOSWA KIKOSI BORA CHA MWAKA LIGI KUU ENGLAND

    London,England.

    Mesut Ozil na Sergio Aguero ni baadhi ya nyota wakubwa waliokosa kuingia katika kikosi bora cha wachezaji XI waliofanya vizuri katika ligi kuu ya England maarufu kama PFA Team of the Year.

    Katika kikosi hicho ambacho kimetangazwa jioni ya leo vilabu vya Leceister City na Tottenham vimetamba baada ya kutoa nyota wanne kila kimoja huku nafasi tatu pekee zikitwaliwa kwa pamoja na vilabu vya Arsenal,Westham na Manchester United.

    Kikosi kamili ni kama ifuatavyo....!!

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: OZIL,AGUERO WATOSWA KIKOSI BORA CHA MWAKA LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top