Lagos,Nigeria.
Mshambuliaji mahiri wa klabu ya Watford ya England na timu ya taifa ya Nigeria Odion Ighalo amefiwa na baba yake mzazi aitwaye Paul Ighalo asubuhi ya leo huko Lagos,Nigeria.
Akiongea na mtandao wa Africanfootball.com Ighalo,26 amesema Paul Ighalo amegundulika amekufa leo saa 8:00 asubuhi baada ya usiku wa jana Jumapili kulalamika kuwa alikuwa akijisikia unyonge na mwili ulikuwa hauna nguvu.
0 comments:
Post a Comment