London,England.
Wakati Riyad Mahrez akitwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu England kwa msimu wa 2015/16 nyota mwenzie katika klabu ya Leceister City Jamie Vardy naye hakutoka kapa.
Jamie Vardy,28 Jana Jumapili usiku Grosvenor House,jijini London alipewa tuzo maalumu baada ya kuweka rekodi ya kufunga mabao katika michezo 11 mfululizo ya ligi kuu nchini England.
Tuzo hiyo imepambwa kwa logo/nembo za vilabu ambayo Vardy alivifunga na kuweka rekodi hiyo adimu.
0 comments:
Post a Comment