Picha:Jerry Muro akiwa katika kanisa la TB Joshua,Nigeria.
Dar es salaam,Tanzania
Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro, amesema ameiombea klabu yake
hiyo kwa Nabii maarufu nchini Nigeria,T.B Joshua, alipokwenda nchini humo kwa ajili ya shughuli zake binafsi.
“Ilikua Jumapili muhimu kwangu, nilishiriki ibada mbali ya kujiombea na familia yangu niliiombea klabu yangu pendwa ili iweze kufanya vizuri katika michuano ya Ligi Kuu na ile ya kimataifa ikiwemo kuchukua mataji hayo.
0 comments:
Post a Comment