Cairo,Misri
YANGA SC itamenyana na Sagrada Esperanca ya Angola kuwania kuingia kwenye makundi ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, mechi ya kwanza ikichezwa Dar es Salaam kati ya Mei 6 na 8 na marudiano ugenini kati ya mei 17 na18.
Ratiba ya michuano hiyo iko hivi:
Yanga SC (Tanzania) Vs Sagrada Esperanca (Angola)
MO Bejaia (Algeria) Vs Esperance (Tunisia)
Stade Malien (Mali) Vs FUS Rabat (Morocco)
Etoile Du Sahel (Tunisia) Vs CF Mounana (Gabon)
TP Mazembe (DRC) Vs Stade Gabesien (Tunisia)
Ahli Tripoli (Libya) Vs Misr Makassa (Misri)
El Merreikh (Sudan) Vs Kawkab (Morocco)
Mamelodi Sundowns (Africa Kusini) Vs Medeama (Ghana)
0 comments:
Post a Comment