Dar es salaam,Tanzania.
Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF) kilichopangwa kufanyika Jumapili,Mei Mosi 2016, kimeahirishwa hadi Jumanne Mei 3,mwaka huu.
Sababu za kuahirisha kikao hicho ni kwamba baadhi ya wajumbe wamepata udhuru hivyo wangeshindwa kuhudhuria kikao hicho kitakachofanyika jijini Dar es Salaam kupitia mashauri
mbalimbali yaliyowasilishwa.
Wafuatao kesi zao zitasikilizwa katika kikao hicho:
1. (i) John Bocco – Azam FC
2. (ii) Shomari Kapombe – Azam FC
3. (iii) Aishi Manula – Azam FC
4. (iv) Amissi Tambwe – Yanga SC
5. (v) Donald Ngoma - Yanga SC
6. (vi) Paulo Jinga – JKT Rwamkoma
7. (vii) Kipre Tchetche – Azam FC
8. (viii) Abel Katunda – Transit Camp
9. (ix) Zephlyn Laurian – JKT Rwamkoma
10. (x) Idrisa Mohamed – JKT Rwamkoma
11. (xi) DR. Mganaga Kitambi (Daktari) –
Coastal Union
12. (xii) Herry Chibakasa – Friends Rangers
13. (xiii) Ismail Nkulo – Polisi Dodoma
14. (xiv) Said Juma – Polisi Dodoma
15. (xv) Idd Selaman – Polisi Dodoma
16. (xvi) Edward Amos – Polisi Dodoma
17. (xvii) Stewart Hall (Kocha)– Azam FC
IMETOLEWA NA MSEMAJI WA TFF,ALFRED LUCAS MAPUNDA 'MAPS
0 comments:
Post a Comment