Dar es salaam,Tanzania.
Mlinzi mahiri wa kulia wa Tanzania Juma Abdul "Dani Alves" amesaini mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu yake ya Yanga SC ya jijini Dar es salaam.
Mkataba huo mpya uliosainiwa hivi karibuni utamfanya Abdul,24 aendelee kuwa mali ya Yanga SC mpaka mwaka 2018.Abdul alijiunga na Yanga SC mwaka 2012 akitokea MtibwaSugar ya Manungu,Morogoro.
0 comments:
Post a Comment