Barcelona,Hispania.
Mabao manne aliyoyafunga mshambuliaji wa FC Barcelona Mruguayi Luis Suarez jana Jumamosi katika mchezo wa La Liga dhidi ya Sporting Gijon yamemfanya nyota huyo wa zamani wa Liverpool afikishe mabao 34 na kuwaacha mbali Cristiano Ronaldo na Lionel Messi katika mbio za kuwania tuzo ya ufungaji bora wa Hispania maarufu kama "PICHICHI".
VINARA WA MBAO LA LIGA NA DAKIKA WALIZOCHEZA
1 Luis Suárez (Barcelona) Mabao 34, Jumla ya dakika alizocheza 2880
2 Cristiano Ronaldo (Real Madrid) Mabao 31, Jumla ya dakika alizocheza 3059
3 Lionel Messi (Barcelona) Mabao 25, Jumla ya dakika alizocheza 2458
4Karim Benzema (Real Madrid) Mabao 23, Jumla ya dakika alizocheza 1838
5 Neymar (Barcelona) Mabao 23, Jumla ya dakika alizocheza 2787
6 Antoine Griezmann (Atlético Madrid) Mabao 20, Jumla ya dakika alizocheza 2903
7 Gareth Bale (Real Madrid) Mabao 18, Jumla ya dakika alizocheza 1572
8 Aritz Aduriz (Athletic Bilbao) Mabao 17, Jumla ya dakika alizocheza 2510
9 Borja Bastón (Eibar) Mabao 17, Jumla ya dakika alizocheza 2370
10 Rubén Castro Real (Betis) Mabao 17, Jumla ya dakika alizocheza 3028
11 Lucas Pérez (Deportivo La Coruña).Mabao 16, Jumla ya dakika alizocheza 2871
PASI ZA MABAO (ASSISTS)
1 Luis Suarez - Barcelona 15
2 Koke - Atlético Madrid 13
3 Lionel Messi - Barcelona 13
4 Cristiano Ronaldo - Real Madrid 11
5 Neymar - Barcelona 10
6 Gareth Bale Real - Madrid 10
7 Marco Asensio - Espanyol 9
0 comments:
Post a Comment