728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, April 24, 2016

    SUAREZ APIGA NNE BARCA IKIUA 6-0 LA LIGA

    Barcelona,Hispania.

    Mabao ya nne ya Luis Suarez yameiwezesha FC Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 nyumbani Nou Camp dhidi ya Sporting Gijon.

    Mabao mengine ya FC Barcelona yamefungwa na Lionel Messi pamoja na Neymar Jr.Kwa ushindi huo FC Barcelona imefikisha pointi 82 na kuendelea kung'ang'ania usukani wa Ligi ya La Liga.

    Katika michezo mingine ya La Liga Real Madrid ikiwa ugenini imetoka nyuma na kuichapa Rayo Vallecano kwa mabao 3-2 huku Atletico Madrid wakiichapa Malaga kwa bao 1-0.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SUAREZ APIGA NNE BARCA IKIUA 6-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top