728x90 AdSpace

Saturday, April 23, 2016

ARSENAL KUWAJAZA MAPESA NYOTA WAKE

London,England.

Arsenal imeripotiwa kuwa katika hatua za mwisho za kuwapa mikataba mipya ya muda mrefu nyota wake watatu Mesut Ozil, Alexis Sanchez na Jack Wilshere.

Arsenal imeamua kupata mikataba mipya nyota hao licha ya kuwa bado wana mikata ya miaka miwili kwenye mikataba yao ya sasa baada ya nyota hao kuanza kunyatiwa na vilabu vya Manchester City,Barcelona na Bayern Munich.

Habari za ndani zinadai katika mikataba hiyo mipya Ozil atakuwa akivuna kitita cha £180,000 kwa wiki,Sanchez £160,000 kwa wiki na Wilshere £110,000 kwa wiki.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: ARSENAL KUWAJAZA MAPESA NYOTA WAKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown