Ali Kiba , Bongo Flavor
Na Faridi Miraji.
Timu ya Tanzania chini ya miaka 17 Serengeti boys imewaleta pamoja wasanii wakubwa wa Tanzania Nassib Abdul 'Diamond Platnumz na ALI Kiba 'Alikiba ' Unajua inakuwaje?
Baada ya muda mfupi utaona Ngoma ya pamoja Alikiba pamoja Diamond ya kuhamasisha na kuichangia timu ya Serengeti boys ambayo imefuzu kucheza fainali za Africa U17 , Alikiba na Diamond wapo kwenye kamati ya kuhamasisha na kutafuta fedha kuisaidia timu hiyo.
-
Diamond, Bongo Flavor
Msemaji wa kamati hiyo chini ya mwenyekiti Charles Hilaly Mwadishi Maulid kitenge amedhibitisha hilo wimbo upo Tayari wameshawatumia wasanii hao kuingiza Sauti zao Alikiba aliyepo Marekani Kwa sasa Ameupokea wimbo huo Huku Diamond aliyepo Tanzania naye Ameupokea na wataanza mara moja kazi ya kuingiza Sauti.. Huku kukiwa na mpango wa kufanya video Kwa pamoja na Wataingiza matukio mbalimbali ya serengeti Boys yataingizwa
0 comments:
Post a Comment