Dar Es Salaam,Tanzania.
Vijana wa timu ya taifa ya Tanzania ya wachezaji wenye umri wa miaka 17,maarufu kama Serengeti Boys sasa hawatakuwa wakivalia jezi ama track suit kwenye safari zao za michuano mbalimbali ya kimataifa na badala yake watakuwa wakivalia suti.
Chini ni vijana wa Serengeti Boys wakichukuliwa vipimo leo tayari kwa kushonewa suti ambazo wataanza kuzivaa kwenye michuano ya vijana ya kombe la Afrika (AFCON) itakayofanyika mwezi Mei nchini Gabon.
0 comments:
Post a Comment