728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, March 18, 2017

    Mbao FC yaitungua Kagera Sugar 2-1 : Yatangulia Nusu Fainali AFSC

    Kagera,Tanzania.

    MBAO FC imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Azam Sports Federation Cup (AFSC) baadKagera sugar kwa ya jioni ya leo kuifunga Kagera Sugar magoli 2-1 katika mchezo mkali wa robo fainali uliopigwa Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera .

    Magoli ya Mbao FC yamefungwa na Salmin Hozza katika dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza na goli la pili limewekwa kambani na Dickson Ambundo huku bao la kufutia machozi kwa Kagera Sugar likifungwa na Ame Ally katika dakika ya 92 hadi filimbi ya mwisho inapulizwa Kagera Sugar 1-2 Mbao FC.
         
    Michezo ya robo fainali iliyosalia

    Madini vs Simba 
    Yanga  vs Tanzania Prisons 
    Azam vs Ndanda 


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Mbao FC yaitungua Kagera Sugar 2-1 : Yatangulia Nusu Fainali AFSC Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top