Dk 90 za mpambano wa klabu Bingwa Africa kati ya wenyeji Zanaco FC (Zambia) na Young Africans (Tanzania) zimemalizika katika Uwanja wa Mashujaa jijini Lusaka Zambia kwa timu hizo kutoka sare ya 0~0'
Kwa matokeo hayo Yanga SC wamesukumwa nje ya michuano hiyo mikubwa kabisa Barani Africa kwa ngazi ya Vilabu.
FT, Zanaco FC 0 Yanga SC 0
Aggregate 1-1
Zanaco FC wanasonga mbele kwa faida ya goli la ugenini .
0 comments:
Post a Comment