Na Faridi Miraji.
Kocha wa sasa wa timu ya Taifa ya Tanzania ( Mayanga ) ametaja kikosi cha timu ya Taifa kilichojumuisha wachezaji 26 .
Makipa; Aishi Manula (Azam), Deogratius Munishi ‘Dida’ (Yanga) na Said Mohammed (Mtibwa Sugar).
Mabeki; Shomary Kapombe (Azam), Hassan Kessy (Yanga), Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ (Simba), Gardiel Michael (Azam), Andrew Vincent (Yanga), Salim Mbonde (Mtibwa Sugar), Abdi Banda (Simba) na Erasto Nyoni (Azam FC).
Viungo ni Himid Mao (Azam), Jonas Mkude (Simba), Salum Abubakar ‘Sure Boy’ (Azam), Said Ndemla (Simba), Frank Domayo (Azam), Muzamil Yassin (Simba), Simon Msuva (Yanga), Shiza Kichuya (Simba), Farid Mussa (DC Tennerife) na Hassan Kabunda (Mwadui FC).
Washambuliaji ni Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji), Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden), Ibrahim Hajib (Simba), Mbarak Yussuf (Kagera Sugar) na Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting).
Wachezaji wenye asili ya Zanzibar hajawajimuisha kwenye kikosi akisubiri maamuzi ya CAF machi 16 kama wataipa leseni Zanzibar kushiriki michuano ya CAF kama nchi kamili au la .
" nikiwaweka sasa hivi na Zanzibar kupata kibali hicho itasumbua program zangu ndio maana nimeacha nafasi nne wazi lakini kama hawataitwa nitawajumuisha "
0 comments:
Post a Comment