Faridi Miraji , Dar es salaam.
MAPEMA TU UWANJA UMEJAA
FAINALI ASFC SIMBA SC VS MBAO FC
Simba tayari wamejaa uwanja wa Jamhuri Dodoma kwenye fainali ya kombe la shirikisho maarufu kama ASFC. Mchezo utakaoanza saa 10:00 jioni. Mshindi wa leo ataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika.
0 comments:
Post a Comment